kwakweli nilikuwa napenda sana, mechi za nje za ujanaaliyekuwa mke wan Traducción - kwakweli nilikuwa napenda sana, mechi za nje za ujanaaliyekuwa mke wan español cómo decir

kwakweli nilikuwa napenda sana, mec

kwakweli nilikuwa napenda sana, mechi za nje za ujana
aliyekuwa mke wangu, analia aaaah
kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
nakuwahonga mpaka magari
waliyekuwa watoto wangu, wanateseka na njaa
mitungi ni kila saa, nyumbani sina time ya kukaa
marafiki nami, night club na mimi ohhh

sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena
sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena

nakupenda, nakupenda sana baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi

Silewi tena niskize ma ah, kwani najua pombe ndo chanzo ah
kilichofanya nikutende, dharau kibao ndani ya nyumba hakuna raha
na kwangu ulikuwa dhaifu niskize ma, kwani najua kweli ulinipenda ah
watoto wangu nliwatenga nisamehe mpenzi, we unasema..
sitaki rudia tena, najuta kwa yote nliyofanya
nisamehe na goti napiga, nalia aaaah

sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena
sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena

nakupenda, nakupenda sana baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi

uje kwenye kisiwa cha malavidavi
uje tupeane mapenzi
usisahau na wanangu..
sahau yaliyopita.... na tugange yajayo!
0/5000
De: -
Para: -
Resultados (español) 1: [Dupdo]
Copiado!
de hecho, me gustaría tener una de los partidos de la juventud
que había sido mi esposa, ella lloró quien AHA
, de hecho tuve encarecidamente hija
nakuwahonga hasta que los coches
que habían mis hijos, están sufriendo de hambre
cilindros son cada hora, en casa no tengo tiempo para permanecer
amigos conmigo, discoteca y me ohhh ahora Me quedo sola, radio pista ya no realiza que es el dinero ni amigos, ni siquiera bebé me quieres de regreso ahora me quedo sola, radio pista ya no realizan que es el dinero ni amigos, ni siquiera un bebé que me quieres otra vez Te amo, Te amo demasiado nena nakuihitaji Madre Madre: Ven isla de malavidavi yo, me perdono ma Bebé nakuihitaji Madre Madre: Ven isla de malavidavi Silewi nuevo niskize ah ma, porque sé alcohol fuente membrana ah -maker nikutende, tablet desprecio en la casa no quiero que me estaba convirtiendo en ma niskize, porque sé la verdad que me amabas ah mis hijos nliwatenga perdóname querido, nos usted dice .. No quiero repetir una vez más, najuta para todos nliyofanya perdonar y la rodilla me inclino mi, lloro que AHA ahora me quedo sola, radio pista ya no realiza que es el dinero ni amigos, ni siquiera bebé me quieres de regreso ahora me quedo sola, radio pista ya no realizan que es el dinero ni amigos, ni siquiera bebé quieres que otra vez Te amo, Te amo demasiado nena madre madre nakuihitaji, llegado isla de malavidavi Yo, perdono ma baby madre madre nakuihitaji, vengo isla malavidavi llegado en la isla de malavidavi vienen dar a la voluntad de no olvidar y mis hijos .. tugange olvidar el pasado y el futuro .... !



































Está traduciendo, por favor espere..
Resultados (español) 2:[Dupdo]
Copiado!
Kwakweli nilikuwa napenda sana, Mechi za Nje za Ujana
aliyekuwa MKE Wangu, Analia aaaah
kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
nakuwahonga Mpaka Magari
waliyekuwa Watoto Wangu, wanateseka na Njaa
mitungi ni Kila SAA, Nyumbani Sina tiempo ya kukaa
marafiki Nami, Night Club na Mimi Ohhh

Sasa nimebaki Lonely, pista redioni hazichezwi
yaani pesa Hakuna, marafiki Hakuna hata bebé hunitaki Tena

Sasa nimebaki Lonely, pista redioni hazichezwi
yaani pesa Hakuna, marafiki Hakuna
hata bebé hunitaki Tena

nakupenda, nakupenda sana bebe
nakuihitaji mamá mamá, Njoo Kisiwa Cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mamá mamá, Njoo Kisiwa Cha malavidavi

silewi Tena niskize ma Ah, Kwani najua pombe OND Chanzo ah
kilichofanya nikutende, dharau KIBAO Ndani ya Nyumba Hakuna Raha
Na Kwangu ulikuwa dhaifu niskize Ma, Kwani najua Kweli ulinipenda ah
Watoto Wangu nliwatenga nisamehe mpenzi, nos unasema..
sitaki Rudia Tena, najuta Kwa yote nliyofanya
nisamehe na Goti napiga, Natalia aaaah

Sasa nimebaki Lonely, pista redioni hazichezwi
yaani pesa Hakuna, marafiki Hakuna
hata bebé hunitaki Tena
Sasa nimebaki lonely redioni, pista hazichezwi
yaani pesa Hakuna, marafiki Hakuna
Hata bebé hunitaki Tena

nakupenda, nakupenda sana bebe
nakuihitaji mamá mamá, Njoo Kisiwa Cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mamá mamá, Njoo Kisiwa Cha malavidavi

uje kwenye Kisiwa Cha malavidavi
uje tupeane Mapenzi
usisahau na wanangu..
sahau yaliyopita....¡Na tugange yajayo!
Está traduciendo, por favor espere..
 
Otros idiomas
El soporte de la herramienta de traducción: Chino tradicional, Detectar idioma, Indonesio, Klingon, afrikáans, albanés, alemán, amhárico, armenio, azerí, bengalí, bielorruso, birmano, bosnio, búlgaro, camboyano, canarés, catalán, cebuano, checo, chichewa, chino, cingalés, coreano, corso, criollo haitiano, croata, danés, eslovaco, esloveno, español, esperanto, estonio, euskera, finlandés, francés, frisio, gallego, galés, gaélico escocés, georgiano, griego, gujarati, hausa, hawaiano, hebreo, hindi, hmong, húngaro, igbo, inglés, irlandés, islandés, italiano, japonés, javanés, kazajo, kinyarwanda, kirguís, kurdo, lao, latín, letón, lituano, luxemburgués, macedonio, malayalam, malayo, malgache, maltés, maorí, maratí, mongol, neerlandés, nepalí, noruego, oriya, panyabí, pastún, persa, polaco, portugués, rumano, ruso, samoano, serbio, sesoto, shona, sindhi, somalí, suajili, sueco, sundanés, tagalo, tailandés, tamil, tayiko, telugu, turco, turkmeno, tártaro, ucraniano, uigur, urdu, uzbeco, vietnamita, xhosa, yidis, yoruba, zulú, árabe, traducción de idiomas.

Copyright ©2025 I Love Translation. All reserved.

E-mail: